2 Samweli 20:12
Amasa alikuwa akigaagaa katika damu yake katikati ya barabara; mtu mmoja akaona kwamba vikosi vyote vilikuwa vinasimama pale. Huyo mtu alipotambua kwamba kila aliyefika pale Amasa alipokuwa alisimama, alimburuta Amasa kutoka barabarani mpaka kwenye shamba na kutupia nguo juu yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 17:25Absalomu alikuwa amemweka Amasa juu ya jeshi badala ya Yoabu. Amasa alikuwa mwana wa mtu mmoja aliyeitwa Yetheri, Mwisraeli, ambaye alikuwa amemwoa Abigaili binti Nahashi, dada yake Seruya mamaye Yoabu.
Psalms 55:23Lakini wewe, Ee Mungu, 2 utawashusha waovu katika shimo la uharibifu. 1 Wenye kiu ya kumwaga damu na wenye hila, 2 hawataishi nusu ya siku zao. 1 Lakini mimi ninakutumaini wewe.