The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 22 › 2 Samweli 22:40

2 Samweli 22:40

Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; 2 uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thou hast girded me with strength to battle: them that rose up against me hast thou subdued under me.

In Context

39Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena; 2 walianguka chini ya miguu yangu. 1

41Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia, 2 nami nikawaangamiza adui zangu. 1

Read all of 2 Samweli 22

Cross References

1 Samuel 23:5Basi Daudi na watu wake wakaenda Keila, wakapigana na Wafilisti na kutwaa wanyama wao wa kutosha. Daudi akawatia hasara kubwa Wafilisti na kuwaokoa watu wa Keila.

Psalms 18:39Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; 2 uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. 1

Psalms 144:2Yeye ni Mungu wangu wa upendo na boma langu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1 ngao yangu ninayemkimbilia, 2 ambaye huwatiisha mataifa chini yangu. 1

Isaiah 60:14Wana wa wale waliokuonea watakuja wakisujudu mbele yako, 2 wote wanaokudharau watasujudu kwenye miguu yako, 1 nao watakuita Mji wa Bwana, 2 Sayuni ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Revelation 5:9Nao wakaimba wimbo mpya, wakisema: 1 “Wewe unastahili kukitwaa kitabu 2 na kuzivunja lakiri zake, 1 kwa sababu ulichinjwa 2 na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu 1 kutoka kila kabila, kila lugha, 2 kila jamaa na kila taifa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 22:40

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 22:392 Samweli 222 Samweli 22:41 →