bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 23 › 2 Samweli 23:11
2 Samweli 23:11
Aliyefuata alikuwa Shama mwana wa Agee, Mharari. Wafilisti walipokusanyika pamoja mahali palipokuwa shamba lililojaa dengu, vikosi vya Israeli viliwakimbia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And after him was Shammah the son of Agee the Hararite. And the Philistines were gathered together into a troop, where was a piece of ground full of lentiles: and the people fled from the Philistines.
In Context
10lakini yeye alisimama imara akawaua Wafilisti hadi mkono wake ukachoka na ukagandamana na upanga. Bwana akawapa ushindi mkubwa siku ile. Vikosi vikarudi kwa Eleazari, kuteka tu nyara za waliokufa.
12Lakini Shama akasimama imara katikati ya lile shamba. Akalitetea na kuwaua Wafilisti, naye Bwana akawapa ushindi mkubwa.
Read all of 2 Samweli 23
Cross References
2 Samuel 23:33mwana wa Shama, Mharari; 2 Ahiamu mwana wa Sharari, Mharari; 2
1 Chronicles 11:27Shamothi Mharori, 2 Helesi Mpeloni, 2
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 23:11