2 Samweli 23:31
Abi-Alboni, Mwaribathi; 2 Azmawethi, Mbarhumi; 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Abi-albon the Arbathite, Azmaveth the Barhumite,
In Context
30Benaya Mpirathoni; 2 Hidai kutoka mabonde ya Gaashi; 2
32Eliaba, Mshaalboni; 2 wana wa Yasheni; 2 Yonathani
Cross References
Joshua 18:22Beth-Araba, Semaraimu, Betheli,
2 Samuel 16:5Mfalme Daudi alipokuwa anakaribia Bahurimu, mtu mmoja kutoka ukoo huo huo kama jamaa ya Sauli, akatoka humo, ambaye jina lake ni Shimei mwana wa Gera; akawa analaani alipokuwa akitoka.
1 Chronicles 12:3Mkuu wao alikuwa Ahiezeri, na wa pili Yoashi, wote wana wa Shemaa Mgibeathi; pia Yezieli na Peleti wana wa Azmawethi; Beraka, Yehu Mwanathothi,