2 Samuel 23:39
na Uria, Mhiti. 1 Jumla yao wote walikuwa watu thelathini na saba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Uriah the Hittite: thirty and seven in all.
In Context
38Ira, Mwithiri; 2 Garebu, Mwithiri; 2
Cross References
2 Samuel 11:3naye Daudi akatuma mtu mmoja kuuliza habari za huyo mwanamke. Huyo mtu akamwambia Daudi, “Je, huyu si Bathsheba binti Eliamu, naye ni mke wa Uria, Mhiti?”
2 Samuel 12:9Kwa nini ulilidharau neno la Bwana kwa kufanya lililo ovu machoni pake? Ulimuua Uria, Mhiti kwa upanga na kumchukua mke wake awe mkeo. Ulimuua kwa upanga wa Waamoni.
1 Chronicles 11:41Uria Mhiti, 2 Zabadi mwana wa Alai, 2