2 Samweli 24:5
Baada ya kuvuka Yordani, walipiga kambi karibu na Aroeri, kusini ya mji ulioko kwenye bonde jembamba, ndipo wakipitia Gadi, wakaenda hadi Yazeri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 21:32Baada ya Mose kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka viunga vya mji huo na kuwafukuza Waamori waliokuwa wanaishi huko.
Numbers 32:3“Atarothi, Diboni, Yazeri, Nimra, Heshboni, Eleale, Sebamu, Nebo na Beoni,
Deuteronomy 2:36Kutoka Aroeri kwenye ukingo wa Bonde la Arnoni, kutoka mji ulio ndani ya bonde, hata mpaka Gileadi, hapakuwa na mji hata mmoja uliokuwa na nguvu kutushinda. Bwana Mungu wetu alitupa yote.
Joshua 13:16Eneo la Aroeri lililo ukingoni mwa Bonde la Arnoni, na kuanzia mji ulio katikati ya bonde, pia uwanda wote wa juu kupita Medeba
1 Samuel 30:28kwa wale walioko Aroeri, Sifmothi, Eshtemoa
Isaiah 17:2Miji ya Aroeri itaachwa 2 na itaachiwa mifugo ambayo italala huko, 2 bila yeyote wa kuyaogopesha. 1