2 Samweli 4:9
Daudi akawajibu Rekabu na Baana nduguye, wana wa Rimoni, Mbeerothi, akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka taabu zote,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 26:24Kwa hakika kama vile maisha yako yalivyokuwa ya thamani kwangu leo, vivyo hivyo maisha yangu na yawe na thamani kwa Bwana na kuniokoa kutoka taabu zote.”
Psalms 31:5Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, 2 unikomboe Ee Bwana, uliye Mungu wa kweli. 1
Psalms 34:17Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, 2 huwaokoa katika taabu zao zote. 1
Psalms 71:23Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha 2 ninapokuimbia sifa, 2 mimi, ambaye umenikomboa. 1
Psalms 106:10Aliwaokoa mikononi mwa adui; 2 kutoka mikononi mwa adui aliwakomboa. 1
2 Timothy 4:17Lakini Bwana alisimama upande wangu akanitia nguvu, ili kupitia kwangu lile Neno lihubiriwe kwa ukamilifu, watu wote Mataifa wapate kulisikia. Mimi niliokolewa kutoka kinywa cha simba.