2 Samweli 5:11
Basi Hiramu mfalme wa Tiro akawatuma wajumbe kwa Daudi, wakiwa na magogo ya mierezi, maseremala na waashi, nao wakajenga jumba la kifalme kwa ajili ya Daudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 19:29Mpaka huo ukageukia nyuma kuelekea Rama na kwenda hadi kwenye mji wenye ngome wa Tiro, ukageuka kuelekea Hosa na kutokeza baharini katika eneo la Akzibu,
2 Samuel 7:2akamwambia nabii Nathani, “Mimi hapa, ninaishi katika jumba la kifalme la mierezi, wakati Sanduku la Mungu limebaki katika hema.”
1 Kings 5:8Hiramu akatuma neno kwa Solomoni: “Nimepokea ujumbe ulionipelekea na nitafanya yote unayohitaji katika kukupatia magogo ya mierezi na misunobari.
1 Kings 5:18Mafundi wa Solomoni, wa Hiramu na watu wa Gebali + 5:18 Yaani Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti). walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
1 Chronicles 14:1Basi Hiramu mfalme wa Tiro akawatuma wajumbe kwa Daudi, wakiwa na magogo ya mierezi, waashi na maseremala ili kumjengea jumba la kifalme.
Jeremiah 22:14Asema, ‘Nitajijengea jumba kuu la kifalme, 2 na vyumba vya juu vyenye nafasi kubwa.’ 1 Hivyo anaweka ndani yake madirisha makubwa, 2 huweka kuta za mbao za mierezi, 2 na kuipamba kwa rangi nyekundu. 1