The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 5 › 2 Samweli 5:25

2 Samweli 5:25

Basi Daudi akafanya kama Bwana alivyomwagiza, naye akawaangusha Wafilisti njia yote kuanzia Geba + 5:25 Kwa Kiebrania mji huu uliitwa Gibeoni (ona 1Nya 14:16 ). hadi Gezeri.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And David did so, as the LORD had commanded him; and smote the Philistines from Geba until thou come to Gazer.

In Context

24Mara utakaposikia sauti ya kutembea kutoka kwenye vilele vya miti ya miforosadi, nenda haraka, kwa sababu hiyo itamaanisha kuwa Bwana ametangulia mbele yako kupiga jeshi la Wafilisti.”

Read all of 2 Samweli 5

Cross References

Joshua 10:33Wakati huo huo, Horamu mfalme wa Gezeri alikuwa amepanda ili kusaidia Lakishi, lakini Yoshua akamshinda pamoja na jeshi lake, hadi hapakubakia mtu yeyote.

Joshua 18:24Kefar-Amoni, Ofni, na Geba; miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake. 1

1 Chronicles 14:16Kwa hiyo Daudi akafanya kama alivyoagizwa na Mungu, wakalipiga jeshi la Wafilisti kuanzia Gibeoni hadi Gezeri.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 5:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 5:242 Samweli 5