bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 9 › 2 Samweli 9:5
2 Samweli 9:5
Basi Mfalme Daudi akamtaka aletwe kutoka Lo-Debari, kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then king David sent, and fetched him out of the house of Machir, the son of Ammiel, from Lo-debar.
In Context
4Mfalme akauliza, “Yuko wapi?” Siba akajibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-Debari.”
6Mefiboshethi mwana wa Yonathani, mwana wa Sauli, alipofika kwa Daudi, akainama kumpa mfalme heshima. Daudi akamwita, “Mefiboshethi!” Mefiboshethi akajibu, “Ndimi mtumishi wako.”
Read all of 2 Samweli 9
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 9:5