2 Wathesalonike 3:15
Lakini msimtendee mtu huyo kama adui, bali mwonyeni kama ndugu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Yet count him not as an enemy, but admonish him as a brother.
In Context
Cross References
1 Corinthians 4:14Siandiki mambo haya kwa ajili ya kuwaaibisha ninyi, bali kwa ajili ya kuwafundisheni watoto wangu wapenzi.
2 Corinthians 2:6Adhabu aliyokwisha pata kutoka kwa wengi wenu inamtosha.
2 Corinthians 13:10Basi, ninaandika barua hii nikiwa mbali, ili nitakapofika kwenu nisilazimike kuwa mkali kwenu kwa kutumia ule uwezo alionipa Bwana; naam, uwezo wa kujenga na si wa kubomoa.
1 Thessalonians 5:14Ndugu, tunawahimizeni muwaonye watu walio wavivu, muwatie moyo watu wanyonge, muwasaidie watu dhaifu, muwe na subira kwa wote.