The Bible Software
bible.software2 Timotheo2 Timotheo 1 › 2 Timotheo 1:10

2 Timotheo 1:10

Lakini sasa imefunuliwa kwa kudhihirishwa kwake Mwokozi wetu, Kristo Yesu, ambaye amebatilisha mauti na kuleta uzima na kutokufa kwa njia ya Injili.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But is now made manifest by the appearing of our Saviour Jesus Christ, who hath abolished death, and hath brought life and immortality to light through the gospel:

In Context

9ambaye alituokoa na kutuita katika mwito mtakatifu: si kwa kadiri ya matendo yetu mema bali kwa sababu ya kusudi lake mwenyewe na neema yake. Neema hii tulipewa katika Kristo Yesu tangu milele.

11Nami nimewekwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa Injili hii.

Read all of 2 Timotheo 1

Cross References

Isaiah 25:7Juu ya mlima huu ataharibu 2 sitara ihifadhiyo mataifa yote, 1 kile kifuniko kifunikacho mataifa yote, 2

Isaiah 45:15Hakika wewe u Mungu unayejificha, 2 Ee Mungu na Mwokozi wa Israeli. 1

Isaiah 60:2Tazama, giza litaifunika dunia 2 na giza kuu litayafunika mataifa, 1 lakini Bwana atazuka juu yako 2 na utukufu wake utaonekana juu yako. 1

Luke 2:11Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo + 2:11 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Bwana.

Luke 11:36Basi ikiwa mwili wako wote umejaa nuru, bila sehemu yake yoyote kuwa gizani, basi utakuwa na nuru kama vile taa ikuangazavyo kwa nuru yake.” 1 Yesu Awashutumu Mafarisayo Na Wanasheria (Mathayo 23:1-36; Marko 12:38-40)

John 1:9Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Timotheo 1:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Timotheo 1:92 Timotheo 12 Timotheo 1:11 →