2 Timotheo 1:12
Hii ndiyo sababu ninateseka namna hii, lakini sioni haya kwa maana ninamjua yeye niliyemwamini, na kusadiki ya kuwa anaweza kukilinda kile nilichokiweka amana kwake hadi siku ile.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Nami nimewekwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa Injili hii.
Cross References
Psalms 25:2ni wewe ninayekutumainia, 2 Ee Mungu wangu. 1 Usiniache niaibike, 2 wala usiache adui zangu wakanishinda. 1
Psalms 56:9Ndipo adui zangu watarudi nyuma 2 ninapoita msaada. 1 Kwa hili nitajua kwamba Mungu 2 yuko upande wangu. 1
Isaiah 50:7Kwa sababu Bwana Mwenyezi ananisaidia, 2 sitatahayarika. 1 Kwa hiyo nimekaza uso wangu kama jiwe la gumegume, 2 nami ninajua sitaaibika. 1
Nahum 1:7Bwana ni Mwema, 2 kimbilio wakati wa taabu. 1 Huwatunza wale wanaomtegemea, 2
Matthew 12:21Katika Jina lake mataifa 2 wataweka tumaini lao.” 1 Yesu Na Beelzebuli (Marko 3:20-30; Luka 11:14-23)
Luke 10:12Ninawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ile kuliko mji ule. 1 Onyo Kwa Miji Isiyotubu (Mathayo 11:20-24)