2 Timotheo 1:18
Bwana na amjalie kupata rehema zake siku ile! Nawe unajua vyema jinsi alivyonisaidia huko Efeso.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
Cross References
1 Kings 17:20Kisha akamlilia Bwana, akasema “Ee Bwana Mungu wangu, je, pia umeleta msiba juu ya mjane huyu ninayeishi pamoja naye, kwa kusababisha mwanawe kufa?”
Matthew 25:34“Ndipo Mfalme atawaambia wale walioko upande wake wa kuume, ‘Njooni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu; urithini Ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Luke 1:78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, 2 nuru itokayo juu itatuzukia 1
Acts 19:1Apolo alipokuwa huko Korintho, Paulo alisafiri sehemu za bara, akafika Efeso. Huko akawakuta wanafunzi kadhaa,
Romans 9:15Kwa maana Mungu alimwambia Mose, 1 “Nitamrehemu yeye nimrehemuye, 2 na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.”
2 Corinthians 9:1Hakuna haja yangu kuwaandikia kuhusu huduma hii itolewayo kwa ajili ya watakatifu.