2 Timotheo 2:26
ili fahamu zao ziwarudie tena, nao waponyoke katika mtego wa ibilisi ambaye amewateka wapate kufanya mapenzi yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 1:12Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, kila kitu alicho nacho kiko mikononi mwako, lakini juu ya huyo mtu mwenyewe usimguse hata kwa kidole.” Ndipo Shetani akatoka mbele za Bwana.
Psalms 124:7Tumeponyoka kama ndege 2 kutoka mtego wa mwindaji; 1 mtego umevunjika, 2 nasi tukaokoka. 1
Isaiah 28:13Hivyo basi, neno la Bwana kwao litakuwa: 2 Amri juu ya amri, amri juu ya amri, 2 kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni, 2 hapa kidogo, kule kidogo: 1 ili waende na kuanguka chali, 2 wakijeruhiwa, wakinaswa na kukamatwa. 1
Isaiah 49:25Lakini hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa, 2 na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali. 1 Nitashindana na wale wanaoshindana nawe, 2 nami nitawaokoa watoto wako. 1
Matthew 12:28Lakini kama mimi ninatoa pepo wachafu kwa Roho wa Mungu, basi Ufalme wa Mungu umekuja juu yenu.
Luke 15:17“Lakini alipozingatia moyoni mwake, akasema, ‘Ni watumishi wangapi walioajiriwa na baba yangu ambao wana chakula cha kuwatosha na kusaza, bali mimi hapa nakufa kwa njaa!