2 Timotheo 3:16
Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.
Cross References
2 Samuel 23:2“Roho wa Bwana alinena kupitia kwangu, 2 neno lake lilikuwa ulimini mwangu. 1
Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1
Psalms 119:11Nimelificha neno lako moyoni mwangu 2 ili nisikutende dhambi. 1
Psalms 119:130Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, 2 kunampa mjinga ufahamu. 1
Proverbs 15:10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; 2 yeye achukiaye maonyo atakufa. 1
Micah 2:7Je, ingesemwa, ee nyumba ya Yakobo: 2 “Je, Roho wa Bwana amekasirika? 2 Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?” 1 “Je, maneno yangu hayamfanyii mema 2 yeye ambaye njia zake ni nyofu? 1