2 Timothy 3:2
Kwa maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kumkufuru Mungu, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio watakatifu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Lakini yakupasa ufahamu jambo hili, kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari.
Cross References
Psalms 10:3Hujivunia tamaa za moyo wake; 2 humbariki mlafi na kumtukana Bwana. 1
Psalms 52:1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? 2 Kwa nini unajivuna mchana kutwa, 2 wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu? 1
Isaiah 10:15Je, shoka laweza kujigamba kuwa na nguvu zaidi 2 kuliko yule anayelitumia, 1 au msumeno kujisifu 2 dhidi ya yule anayeutumia? 1 Ni kana kwamba fimbo ingeweza kumwinua yeye aichukuaye, 2 au mkongojo ungemwinua mwenye kuutumia! 1
Daniel 11:36“Mfalme atafanya apendavyo. Atajikweza na kujitukuza juu ya kila mungu, naye atasema mambo ambayo hayajasikiwa dhidi ya Mungu wa miungu. Atafanikiwa hadi wakati wa ghadhabu utimie, kwa maana kile kilichokusudiwa lazima kitokee.
Mark 7:11Lakini ninyi mwafundisha kwamba mtu akimwambia baba yake au mama yake, ‘Kile ambacho ningeweza kukusaidia ni Korbani’ (yaani kimewekwa wakfu kwa Mungu),
Luke 16:14Mafarisayo, waliokuwa wapenda fedha, waliyasikia hayo yote na wakamcheka kwa dharau.