The Bible Software
bible.software2 Timotheo2 Timotheo 4 › 2 Timotheo 4:1

2 Timotheo 4:1

Nakuagiza mbele za Mungu na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu watu walio hai na waliokufa wakati wa kuja kwake na ufalme wake, kwamba:

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I charge thee therefore before God, and the Lord Jesus Christ, who shall judge the quick and the dead at his appearing and his kingdom;

In Context

2Hubiri Neno; kuwa tayari wakati ufaao na wakati usiofaa; karipia, kemea na utie moyo kwa uvumilivu wote na kwa mafundisho mazuri.

Read all of 2 Timotheo 4

Cross References

Psalms 50:6Nazo mbingu zinatangaza haki yake, 2 kwa maana Mungu mwenyewe ni hakimu. 1

Psalms 98:9vyote na viimbe mbele za Bwana, 2 kwa maana yuaja kuhukumu dunia. 1 Atahukumu dunia kwa haki 2 na mataifa kwa haki.

Matthew 25:31“Mwana wa Adamu atakapokuja katika utukufu wake na malaika wote watakatifu pamoja naye, ndipo atakapoketi juu ya kiti cha enzi cha utukufu wake.

Luke 19:15“Hata hivyo alirudi akiwa amekwisha kupokea mamlaka ya ufalme, akawaita wale watumishi wake aliokuwa amewaachia fedha, ili afahamu ni faida kiasi gani kila mmoja wao aliyopata kwa kufanya biashara.

John 5:22Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana,

Acts 17:31Kwa kuwa ameweka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki akimtumia mtu aliyemchagua. Amewahakikishia watu wote mambo haya kwa kumfufua Kristo kutoka kwa wafu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Timotheo 4:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
2 Timotheo 42 Timotheo 4:2 →