2 Timothy 4:8
Sasa nimewekewa taji ya haki ambayo Bwana, mwamuzi wa haki, atanitunukia siku ile: wala si mimi tu, bali pia wote ambao wamengoja kwa shauku kudhihirishwa kwake. 1 Maelekezo Ya Binafsi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Nimevipiga vita vizuri, mashindano nimeyamaliza, imani nimeilinda.
Cross References
Psalms 7:11Mungu ni mwamuzi mwenye haki, 2 Mungu aghadhibikaye kila siku. 1
Proverbs 4:9Atakuvika shada la neema kichwani mwako 2 na kukupa taji ya utukufu.” 1
Matthew 6:19“Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.
Matthew 24:36“Kwa habari ya siku ile na saa, hakuna ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba peke yake.
Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.
1 Corinthians 2:9Lakini ni kama ilivyoandikwa: 1 “Hakuna jicho limepata kuona, 2 wala sikio limepata kusikia, 1 wala hayakuingia moyoni wowote, 2 yale Mungu amewaandalia 2 wale wampendao”: