3 John 1:3
Ilinifurahisha sana baadhi ya ndugu walipokuja na kutueleza juu ya uaminifu wako katika kweli na jinsi unavyoendelea kuenenda katika hiyo kweli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Mpendwa, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema kama vile roho yako ifanikiwavyo.
4Sina furaha kubwa kuliko hii, kusikia kwamba watoto wangu wanaenenda katika kweli.
Cross References
Psalms 119:11Nimelificha neno lako moyoni mwangu 2 ili nisikutende dhambi. 1
2 Corinthians 7:6Bali Mungu, yeye awafarijie wenye huzuni, alitufariji kwa kufika kwake Tito.
Philippians 1:4Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha,
1 Thessalonians 2:19Kwa maana tumaini letu ni nini, au furaha yetu au taji yetu ya kujisifia mbele za Bwana Yesu Kristo wakati wa kuja kwake? Je, si ni ninyi?
2 John 1:2kwa sababu ya ile kweli ikaayo ndani yetu na ambayo itaendelea kukaa nasi milele:
3 John 1:4Sina furaha kubwa kuliko hii, kusikia kwamba watoto wangu wanaenenda katika kweli.