Acts 1:24
Kisha wakaomba, wakasema, “Bwana, wewe waujua moyo wa kila mtu. Tuonyeshe ni yupi kati ya hawa wawili uliyemchagua
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25ili achukue nafasi ya huduma ya utume ambayo Yuda aliiacha ili aende mahali pake mwenyewe.”
Cross References
1 Samuel 16:7Lakini Bwana akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. Bwana hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini Bwana hutazama moyoni.”
1 Chronicles 28:9“Nawe Solomoni mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa kujitoa kwa moyo wote na kwa nia ya kumkubali, kwa maana Bwana huuchunguza kila moyo na kujua kila kusudi la kila fikira. Ukimtafuta, ataonekana kwako; bali kama ukimwacha, yeye atakukataa milele.
Psalms 7:9Ee Mungu mwenye haki, 2 uchunguzaye mawazo na mioyo, 1 komesha ghasia za waovu 2 na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 1
Proverbs 3:5Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote 2 wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 1
Jeremiah 11:20Lakini, Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, wewe uhukumuye kwa haki, 2 nawe uchunguzaye moyo na akili, 1 wacha nione ukiwalipiza wao kisasi, 2 kwa maana kwako nimeweka shauri langu.
Jeremiah 20:12Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 wewe umjaribuye mwenye haki 2 na kupima moyo na nia, 1 hebu nione ukilipiza kisasi juu yao, 2 kwa maana kwako 2 nimeliweka shauri langu. 1