The Bible Software
bible.softwareActsActs 1 › Acts 1:6

Acts 1:6

Mitume walipokuwa wamekusanyika pamoja, wakamuuliza Yesu, “Bwana, je, huu ndio wakati wa kuwarudishia Israeli ufalme?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When they therefore were come together, they asked of him, saying, Lord, wilt thou at this time restore again the kingdom to Israel?

In Context

5Yohana aliwabatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu.” 1 Yesu Apaa Mbinguni (Marko 16:19-20; Luka 24:50-53)

7Yesu akawaambia, “Si juu yenu kujua nyakati na majira ambayo Baba ameyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.

Read all of Acts 1

Cross References

Isaiah 1:26Nitawarudishia waamuzi wenu kama ilivyokuwa siku za zamani, 2 nao washauri wenu kama ilivyokuwa mwanzoni. 1 Baadaye utaitwa, 2 Mji wa Haki, 2 Mji Mwaminifu.” 1

Jeremiah 23:5Bwana asema, “Siku zinakuja, 2 nitakapomwinulia Daudi Tawi lenye haki, 1 Mfalme atakayetawala kwa hekima, 2 na kutenda lililo haki na sawa katika nchi. 1

Jeremiah 33:26basi nitawakataa wazao wa Yakobo na Daudi mtumishi wangu, na sitachagua mmoja wa wanawe kutawala juu ya wazao wa Abrahamu, Isaki na Yakobo. Kwa maana nitawarudisha kutoka nchi ya kutekwa kwao na kuwaonea huruma.’ ”

Daniel 7:27Ndipo ufalme, mamlaka na ukuu wa falme chini ya mbingu yote utakabidhiwa kwa watakatifu, watu wa Yeye Aliye Juu Sana. Ufalme wake utakuwa ufalme wa milele, nao watawala wote watamwabudu na kumtii yeye.’

Joel 3:16Bwana atanguruma kutoka Sayuni 2 na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; 2 dunia na mbingu vitatikisika. 1 Lakini Bwana atakuwa kimbilio la watu wake, 2 ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. 1 Baraka Kwa Watu Wa Mungu 1

Obadiah 1:17Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwepo 2 na wale watakaookoka; 2 nao utakuwa mtakatifu, 1 nayo nyumba ya Yakobo 2 itamiliki urithi wake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 1:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 1:5Acts 1Acts 1:7 →