Acts 1:8
Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, Uyahudi kote na Samaria, hadi miisho ya dunia.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1
Isaiah 42:10Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 sifa zake toka miisho ya dunia, 1 ninyi mshukao chini baharini, 2 na vyote vilivyomo ndani yake, 2 enyi visiwa na wote wakaao ndani yake. 1
Isaiah 52:10Mkono mtakatifu wa Bwana umefunuliwa 2 machoni pa mataifa yote, 1 nayo miisho yote ya dunia itaona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1
Jeremiah 16:19Ee Bwana, nguvu zangu na ngome yangu, 2 kimbilio langu wakati wa taabu, 1 kwako mataifa yatakujia 2 kutoka miisho ya dunia na kusema, 1 “Baba zetu hawakuwa na chochote zaidi ya miungu ya uongo, 2 sanamu zisizofaa kitu 2 ambazo hazikuwafaidia lolote. 1
Zechariah 4:6Kisha akaniambia, “Hili ni neno la Bwana kwa Zerubabeli: ‘Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa Roho yangu,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Matthew 28:19Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu,