bible.software › Acts › Acts 10 › Acts 10:18
Acts 10:18
Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And called, and asked whether Simon, which was surnamed Peter, were lodged there.
In Context
17Wakati Petro akiwa bado anajiuliza kuhusu maana ya maono haya, wale watu waliokuwa wametumwa na Kornelio wakaipata nyumba ya Simoni mtengenezaji wa ngozi wakawa wamesimama mbele ya lango.
19Wakati Petro akiwa anafikiria juu ya yale maono, Roho Mtakatifu akamwambia, “Simoni, wako watu watatu wanaokutafuta.
Read all of Acts 10
Cross References
Acts 10:5Sasa tuma watu waende Yafa wakamwite mtu mmoja jina lake Simoni aitwaye Petro.
This Verse In Other Editions
Study Acts 10:18