Acts 10:35
Lakini katika kila taifa, kila mtu amchaye na kutenda yaliyo haki hukubaliwa naye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But in every nation he that feareth him, and worketh righteousness, is accepted with him.
In Context
34Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,
Cross References
Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Psalms 85:9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, 2 ili utukufu wake udumu katika nchi yetu. 1
Proverbs 1:7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, 2 lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 1 Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu 1
Proverbs 3:7Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; 2 mche Bwana ukajiepushe na uovu. 1
Ecclesiastes 12:13Hii ndiyo jumla ya maneno; 2 yote yamekwisha sikiwa: 1 Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, 2 maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. 1
Hosea 8:13Wanatoa dhabihu nilizopewa mimi 2 nao wanakula hiyo nyama, 2 lakini Bwana hapendezwi nao. 1 Sasa ataukumbuka uovu wao 2 na kuadhibu dhambi zao: 2 Watarudi Misri. 1