Acts 11:1
Mitume na ndugu walioamini waliokuwa huko Uyahudi wakasikia kuwa watu wa Mataifa nao wamepokea neno la Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Hivyo Petro alipopanda Yerusalemu, wale wa tohara waliokuwa wameamini wakamshutumu,
Cross References
Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1
Psalms 96:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya; 2 mwimbieni Bwana dunia yote. 1
Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1
Isaiah 42:1“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, 2 mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; 1 nitaweka Roho yangu juu yake, 2 naye ataleta haki kwa mataifa. 1
Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1
Isaiah 60:3Mataifa watakuja kwenye nuru yako 2 na wafalme kwa mwanga wa mapambazuko yako. 1