Acts 11:16
Nami nikakumbuka neno la Bwana alivyosema, ‘Yohana alibatiza kwa maji, lakini ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15“Nami nilipoanza kusema, Roho Mtakatifu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo.
Cross References
Proverbs 1:23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, 2 ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu 2 na kuwafahamisha maneno yangu. 1
Ezekiel 36:25Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi, nitawatakasa kutoka uchafu wenu wote na kutoka sanamu zenu zote.
Joel 3:18“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, 2 na vilima vitatiririka maziwa; 2 mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. 1 Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya Bwana 2 na kunywesha Bonde la Shitimu. + 3:18 Au: Bonde la Migunga . 1
Mark 1:8Mimi nawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.” 1 Ubatizo Wa Yesu (Mathayo 3:13-17; Luka 3:21-22)
Luke 24:8Ndipo wakayakumbuka maneno ya Yesu.
John 1:33Mimi nisingemtambua, lakini yeye aliyenituma nibatize kwa maji alikuwa ameniambia, ‘Yule mtu utakayemwona Roho akimshukia na kukaa juu yake, huyo ndiye atakayebatiza kwa Roho Mtakatifu.’