Acts 11:18
Waliposikia haya hawakuwa na la kupinga zaidi. Nao wakamwadhimisha Mungu wakisema, “Basi, Mungu amewapa hata watu wa Mataifa toba iletayo uzima wa milele.” 1 Kanisa La Antiokia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 22:30Wakati kuhani Finehasi na viongozi wa kusanyiko na wakuu wa koo za Israeli, waliposikia hayo waliyosema Wareubeni, Wagadi na Manase, wakaridhika.
Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1
Ezekiel 36:26Nitawapa moyo mpya na kuweka roho mpya ndani yenu, nitaondoa ndani yenu moyo wenu wa jiwe na kuwapa moyo wa nyama.
Acts 3:19Tubuni basi mkamgeukie Mungu, dhambi zenu zifutwe, ili zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwepo kwake Bwana,
Acts 5:31Mungu alimtukuza, akamweka mkono wake wa kuume kuwa Kiongozi na Mwokozi ili awape Israeli toba na msamaha wa dhambi.
Acts 13:47Kwa maana hili ndilo Bwana alilotuamuru: 1 “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu wa Mataifa, 2 ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’ ”