Acts 11:4
Ndipo Petro akaanza kuwaeleza kuhusu mambo yote yalivyotokea hatua kwa hatua akisema,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Peter rehearsed the matter from the beginning, and expounded it by order unto them, saying,
In Context
3wakisema, “Ulikwenda kwa watu wasiotahiriwa na kula pamoja nao.”
Cross References
Proverbs 15:1Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, 2 bali neno liumizalo huchochea hasira. 1
Acts 14:27Walipowasili Antiokia wakaliita kanisa pamoja na kutoa taarifa ya yale yote Mungu aliyokuwa ametenda kupitia kwao na jinsi alivyokuwa amefungua mlango wa imani kwa ajili ya watu wa Mataifa.