Acts 11:9
“Sauti ikasema kutoka mbinguni mara ya pili, ‘Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the voice answered me again from heaven, What God hath cleansed, that call not thou common.
In Context
8“Nikajibu, ‘La hasha Bwana! Kitu chochote kilicho najisi hakijaingia kinywani mwangu.’
10Jambo hili lilitokea mara tatu, ndipo kile kitu kikavutwa tena mbinguni.
Cross References
Acts 10:15Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.”
Acts 10:34Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,
1 Timothy 4:5kwa sababu kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba. 1 Mtumishi Mwema Wa Yesu Kristo