The Bible Software
bible.softwareActsActs 12 › Acts 12:7

Acts 12:7

Ghafula malaika wa Bwana akatokea na nuru ikamulika mle ndani ya gereza. Yule malaika akampiga Petro ubavuni na kumwamsha, akisema, “Ondoka upesi!” Mara ile minyororo ikaanguka kutoka mikononi mwa Petro.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And, behold, the angel of the Lord came upon him, and a light shined in the prison: and he smote Peter on the side, and raised him up, saying, Arise up quickly. And his chains fell off from his hands.

In Context

6Usiku ule kabla ya siku ambayo Herode Agripa alikuwa amekusudia kumtoa na kumfanyia mashtaka, Petro alikuwa amelala kati ya askari wawili, akiwa amefungwa kwa minyororo miwili. Nao walinzi wa zamu walikuwa wakilinda penye lango la gereza.

8Yule malaika akamwambia, “Vaa nguo zako na viatu vyako.” Petro akafanya hivyo. Kisha akamwambia, “Jifunge vazi lako na unifuate.”

Read all of Acts 12

Cross References

2 Samuel 22:29Wewe ni taa yangu, Ee Bwana. 2 Bwana hulifanya giza langu 2 kuwa mwanga. 1

1 Kings 19:7Yule malaika wa Bwana akaja tena mara ya pili, akamgusa akamwambia, “Inuka na ule, kwa kuwa safari ni ndefu kwako.”

Psalms 37:32Watu waovu huvizia wenye haki, 2 wakitafuta kuwaua; 1

Psalms 107:14Akawatoa katika giza na huzuni kuu 2 na akavunja minyororo yao. 1

Psalms 142:6Sikiliza kilio changu, 2 kwa sababu mimi ni mhitaji sana; 1 niokoe na wale wanaonifuatilia, 2 kwa kuwa wamenizidi nguvu. 1

Isaiah 37:30“Hii ndiyo itakuwa ishara kwako, ee Hezekia: 1 “Mwaka huu utakula kile kiotacho chenyewe, 2 na mwaka wa pili utakula kutoka machipukizi yake. 1 Lakini katika mwaka wa tatu panda na uvune, 2 panda mashamba ya mizabibu na ule matunda yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 12:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 12:6Acts 12Acts 12:8 →