Acts 13:16
Paulo akasimama, akawapungia mkono na kusema: “Enyi wanaume wa Israeli na ninyi nyote mnaomcha Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:46akawaambia, “Yawekeni moyoni maneno yote ambayo nimewatangazia kwa makini siku hii ya leo, ili kwamba mpate kuwaagiza watoto wenu wayatii kwa bidii maneno yote ya sheria hii.
Psalms 49:1Sikieni haya, enyi mataifa yote, 2 sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 1
Psalms 78:1Enyi watu wangu, sikieni mafundisho yangu, 2 sikilizeni maneno ya kinywa changu. 1
Psalms 135:20ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana; 2 ninyi mnaomcha, msifuni Bwana. 1
Matthew 11:15Yeye aliye na masikio, na asikie.
Luke 23:40Lakini yule mhalifu mwingine akamkemea mwenzake, akasema, “Je, wewe humwogopi Mungu, wakati uko kwenye adhabu iyo hiyo?