Acts 13:31
Naye kwa siku nyingi akawatokea wale waliokuwa pamoja naye kuanzia Galilaya hadi Yerusalemu. Nao sasa wamekuwa mashahidi wake kwa watu wetu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu.
32“Nasi tunawaletea habari njema, kwamba yale Mungu aliyowaahidi baba zetu
Cross References
Mark 16:12Baadaye Yesu akawatokea wawili miongoni mwa wanafunzi wake walipokuwa wakienda shambani akiwa katika sura nyingine.
Luke 24:48Ninyi ni mashahidi wa mambo haya. 1 Kuahidiwa Kwa Roho Mtakatifu
John 20:19Ikawa jioni ya ile siku ya kwanza ya juma, wanafunzi wake walikuwa pamoja, milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi. Naye Yesu aliwatokea, akasimama katikati yao, akasema, “Amani iwe nanyi!”
Acts 1:3Baada ya mateso yake, alijionyesha kwao na kuwathibitishia kwa njia nyingi kwamba yeye yu hai. Katika muda wa siku arobaini baada ya kufufuka kwake aliwatokea na kunena kuhusu Ufalme wa Mungu.
Acts 1:11wakasema, “Enyi watu wa Galilaya, mbona mnasimama mkitazama juu angani? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda Mbinguni, atarudi tena jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake Mbinguni.” 1 Mathiya Achaguliwa Badala Ya Yuda (Mathayo 27:3-10)
Acts 2:32Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo.