The Bible Software
bible.softwareActsActs 14 › Acts 14:17

Acts 14:17

Lakini hakuacha kuwaonyesha watu uwepo wake: Ameonyesha wema kwa kuwanyeshea mvua toka mbinguni na kuwapa mazao kwa majira yake, naye amewapa chakula tele na kuijaza mioyo yenu na furaha.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Nevertheless he left not himself without witness, in that he did good, and gave us rain from heaven, and fruitful seasons, filling our hearts with food and gladness.

In Context

16Zamani aliwaachia mataifa waishi walivyotaka.

18Hata kwa maneno haya yote, ilikuwa vigumu kuuzuia ule umati wa watu kuwatolea dhabihu.

Read all of Acts 14

Cross References

Leviticus 26:4nitawanyeshea mvua katika majira yake, nayo ardhi itatoa mazao yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.

Deuteronomy 11:14ndipo atawanyweshea mvua katika nchi yenu kwa majira yake, mvua ya masika na ya vuli, ili mpate kuvuna nafaka zenu, divai mpya na mafuta.

1 Kings 18:1Baada ya muda mrefu, katika mwaka wa tatu, neno la Bwana likamjia Eliya kusema, “Nenda ukajionyeshe kwa Ahabu na mimi nitanyesha mvua juu ya nchi.”

Job 5:10Yeye huipa nchi mvua, 2 huyapeleka maji kunyesha mashamba. 1

Job 38:26ili kusababisha mvua kunyeshea mahali pasipokaliwa na mtu, 2 jangwa lisilo na yeyote ndani yake, 1

Psalms 36:5Upendo wako, Ee Bwana, unafika hadi mbinguni, 2 uaminifu wako hadi kwenye anga. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 14:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 14:16Acts 14Acts 14:18 →