Acts 15:26
watu ambao wamehatarisha maisha yao kwa ajili ya jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Men that have hazarded their lives for the name of our Lord Jesus Christ.
In Context
27Kwa hiyo tunawatuma Yuda na Sila, kuthibitisha kwa maneno ya mdomo mambo haya tunayowaandikia.
Cross References
Judges 5:18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, 2 vilevile nao watu wa Naftali. 1
Acts 13:50Lakini Wayahudi wakawachochea wanawake wenye kumcha Mungu, wenye vyeo pamoja na watu maarufu katika mji, wakachochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba na kuwafukuza kutoka eneo hilo.
1 Corinthians 15:30Nasi kwa upande wetu kwa nini tunajihatarisha kila saa?
Philippians 2:29Kwa hiyo mpokeeni katika Bwana kwa furaha kubwa, nanyi wapeni heshima watu kama hawa,