Acts 17:11
Hawa Waberoya walikuwa waungwana zaidi kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa waliupokea ule ujumbe kwa shauku kubwa na kuyachunguza Maandiko kila siku ili kuona kama yale Paulo aliyosema yalikuwa kweli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Wayahudi wengi wakaamini pamoja na wanawake na wanaume wa Kiyunani wa tabaka la juu.
Cross References
Job 23:12Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; 2 nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku. 1
Psalms 119:97Aha! Tazama, sheria yako naipenda mno ajabu. 2 Ninaitafakari mchana kutwa. 1
Psalms 119:148Sikufumba macho yangu usiku kucha, 2 ili niweze kutafakari juu ya ahadi zako. 1
Proverbs 2:1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu 2 na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 1
Proverbs 9:9Mfundishe mtu mwenye hekima 2 naye atakuwa na hekima zaidi; 1 mfundishe mtu mwadilifu 2 naye atazidi kufundishika. 1
Isaiah 34:16Angalieni katika gombo la Bwana na msome: 1 Hakuna hata mmoja katika hawa atakayekosekana, 2 hakuna hata mmoja atakayemkosa mwenzi wake. 1 Kwa kuwa ni kinywa chake Mungu kimeagiza, 2 na Roho wake atawakusanya pamoja. 1