Acts 17:15
Wale waliomsindikiza Paulo wakaenda naye mpaka Athene, kisha wakarudi Beroya wakiwa na maagizo kutoka kwa Paulo kuhusu Sila na Timotheo kwamba wamfuate upesi iwezekanavyo. 1 Paulo Huko Athene
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Mara hiyo, wale ndugu wakamsafirisha Paulo hadi pwani, lakini Sila na Timotheo wakabaki Beroya.
Cross References
Acts 17:16Paulo alipokuwa akiwasubiri huko Athene, alisumbuka sana moyoni mwake kuona vile mji huo ulivyojaa sanamu.
Acts 18:1Baada ya haya, Paulo akaondoka Athene akaenda Korintho.
1 Thessalonians 3:1Kwa hivyo tulipokuwa hatuwezi kuvumilia zaidi, tuliamua tubaki Athene peke yetu.
2 Timothy 4:20Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.