Acts 18:10
kwa maana mimi niko pamoja nawe, wala hakuna mtu atakayeweza kukushambulia ili kukudhuru, kwa kuwa ninao watu wengi katika mji huu ambao ni watu wangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I am with thee, and no man shall set on thee to hurt thee: for I have much people in this city.
In Context
9Usiku mmoja Bwana akamwambia Paulo katika maono, “Usiogope, lakini endelea kusema wala usinyamaze,
11Hivyo Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, akiwafundisha neno la Mungu.
Cross References
Exodus 4:12Sasa nenda, nitakusaidia kusema, nami nitakufundisha jambo la kusema.”
Joshua 1:9Je, si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na shujaa. Usihofu wala usivunjike moyo, kwa kuwa Bwana Mungu wako atakuwa pamoja nawe kokote uendako.”
Isaiah 8:10Wekeni mikakati yenu, lakini itashindwa; 2 fanyeni mipango yenu, lakini haitafanikiwa, 1 kwa maana Mungu yu pamoja nasi. + 8:10 Kiebrania ni Imanueli. 1 Mwogope Mungu
Isaiah 43:2Unapopita kwenye maji makuu, 2 nitakuwa pamoja nawe, 1 unapopita katika mito ya maji, 2 hayatakugharikisha. 1 Utakapopita katika moto, 2 hutaungua, 2 miali ya moto haitakuunguza. 1
Jeremiah 1:18Leo nimekufanya mji wenye ngome, nguzo ya chuma, na ukuta wa shaba ili kusimama dhidi ya nchi yote: dhidi ya wafalme wa Yuda, maafisa wake, makuhani wake na watu wa nchi hiyo.
Matthew 1:23“Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita Jina lake Imanueli”: maana yake, “Mungu pamoja nasi.”