The Bible Software
bible.softwareActsActs 18 › Acts 18:5

Acts 18:5

Sila na Timotheo walipowasili kutoka Makedonia, walimkuta Paulo akiwa amejitolea muda wake wote katika kuhubiri, akiwashuhudia Wayahudi kwamba Yesu ndiye Kristo + 18:5 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when Silas and Timotheus were come from Macedonia, Paul was pressed in the spirit, and testified to the Jews that Jesus was Christ.

In Context

4Kila Sabato Paulo alikuwa akihojiana nao katika sinagogi, akijitahidi kuwashawishi Wayahudi na Wayunani.

6Wayahudi walipompinga Paulo na kukufuru, yeye aliyakungʼuta mavazi yake, akawaambia, “Damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu! Mimi sina hatia, nimetimiza wajibu wangu. Kuanzia sasa nitawaendea watu wa Mataifa.”

Read all of Acts 18

Cross References

Job 32:18Kwa kuwa nimejawa na maneno, 2 nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; 1

Jeremiah 20:9Lakini kama nikisema, “Sitamtaja 2 wala kusema tena kwa jina lake,” 1 neno lake linawaka ndani ya moyo wangu kama moto, 2 moto uliofungwa ndani ya mifupa yangu. 1 Nimechoka sana kwa kulizuia ndani mwangu; 2 kweli, siwezi kujizuia. 1

Daniel 9:25“Ujue na kuelewa hili: Tangu kutolewa kwa amri ya kuutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu mpaka kuja kwa Mpakwa mafuta, aliye mtawala, kutakuwako majuma saba na majuma sitini na mawili. Barabara zitajengwa tena pamoja na mahandaki, lakini katika wakati wa taabu.

Luke 12:50Lakini ninao ubatizo ambao lazima nibatizwe, nayo dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo ukamilike!

John 3:28Ninyi wenyewe ni mashahidi wangu kwamba nilisema, ‘Mimi si Kristo, + 3:28 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. ila nimetumwa nimtangulie.’

John 15:27Ninyi nanyi itawapasa kushuhudia kwa sababu mmekuwa pamoja nami tangu mwanzo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 18:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 18:4Acts 18Acts 18:6 →