Acts 19:18
Wengi wa wale waliokuwa wameamini wakati huu wakaja na kutubu waziwazi kuhusu matendo yao maovu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And many that believed came, and confessed, and shewed their deeds.
In Context
Cross References
Leviticus 26:40“ ‘Lakini kama watatubu dhambi zao na dhambi za baba zao, udanganyifu wao dhidi yangu na uadui wao kwangu,
Psalms 32:5Kisha nilikujulisha dhambi yangu 2 wala sikuficha uovu wangu. 1 Nilisema, “Nitaungama 2 makosa yangu kwa Bwana.” 1 Ndipo uliponisamehe 2 hatia ya dhambi yangu. 1
Jeremiah 3:13Ungama dhambi zako tu: 2 kwamba umemwasi Bwana Mungu wako, 1 umetapanya wema wako kwa miungu ya kigeni 2 chini ya kila mti unaotanda, 2 nawe hukunitii mimi,’ ” 4 asema Bwana.
Ezekiel 36:31Ndipo mtakapozikumbuka njia zenu za uovu na matendo yenu maovu, nanyi mtajichukia wenyewe kwa ajili ya dhambi zote na matendo yenu ya kuchukiza.
Romans 10:10Kwa maana kwa moyo mtu huamini na hivyo kuhesabiwa haki, tena kwa kinywa mtu hukiri na hivyo kupata wokovu.