bible.software › Acts › Acts 19 › Acts 19:20
Acts 19:20
Hivyo neno la Bwana likaenea sana na kuwa na nguvu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So mightily grew the word of God and prevailed.
In Context
19Idadi kubwa ya wale waliofanya mambo ya uganga wakaleta vitabu vyao na kuviteketeza kwa moto hadharani. Walipofanya hesabu ya thamani ya vitabu vilivyoteketezwa ilikuwa drakma 50,000 + 19:19 Drakma ilikuwa ni sarafu ya fedha, thamani yake ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku moja. za fedha.
21Baada ya mambo haya kutukia, Paulo akakusudia rohoni kwenda Yerusalemu kupitia Makedonia na Akaya. Akasema, “Baada ya kufika huko, yanipasa pia kwenda Rumi.”
Read all of Acts 19
Cross References
Acts 6:7Neno la Mungu likazidi kuenea. Idadi ya wanafunzi ikazidi kuongezeka sana katika Yerusalemu hata makuhani wengi wakaitii ile imani. 1 Kukamatwa Kwa Stefano
2 Thessalonians 3:1Hatimaye, ndugu, tuombeeni ili Neno la Bwana lipate kuenea kwa haraka na kuheshimiwa kila mahali, kama vile ilivyokuwa kwenu.
This Verse In Other Editions
Study Acts 19:20