bible.software › Acts › Acts 19 › Acts 19:36
Acts 19:36
Kwa hiyo, kwa kuwa mambo haya hayakanushiki, inawapasa mnyamaze na wala msifanye lolote kwa haraka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Seeing then that these things cannot be spoken against, ye ought to be quiet, and to do nothing rashly.
In Context
35Baadaye karani wa mji akaunyamazisha ule umati wa watu na kusema, “Enyi watu wa Efeso, je, ulimwengu wote haujui ya kuwa mji wa Efeso ndio unaotunza hekalu la Artemi aliye mkuu na ile sanamu yake iliyoanguka kutoka mbinguni?
37Kwa kuwa mmewaleta hawa watu hapa, ingawa hawajaiba hekaluni wala kumkufuru huyu mungu wetu wa kike.
Read all of Acts 19
Cross References
Proverbs 25:8usiharakishe kukipeleka mahakamani, 1 maana utafanya nini mwishoni 2 kama jirani yako atakuaibisha? 1
This Verse In Other Editions
Study Acts 19:36