bible.software › Acts › Acts 19 › Acts 19:39
Acts 19:39
Lakini kama kuna jambo jingine lolote zaidi mnalotaka kulileta, itabidi lisuluhishwe katika kusanyiko halali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if ye enquire any thing concerning other matters, it shall be determined in a lawful assembly.
In Context
38Basi, ikiwa Demetrio na mafundi wenzake wana jambo zito dhidi ya mtu yeyote, mahakama ziko wazi na wasaidizi wa mwakilishi wa mtawala. Wanaweza kufungua mashtaka.
40Kama ilivyo sasa, tuko hatarini kushtakiwa kwa kufanya ghasia kwa sababu ya tukio la leo. Kwa kuwa hakuna sababu tutakayoweza kutoa kuhalalisha msukosuko huu.”
Read all of Acts 19
This Verse In Other Editions
Study Acts 19:39