Acts 19:5
Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When they heard this, they were baptized in the name of the Lord Jesus.
In Context
Cross References
Acts 8:12Lakini watu walipomwamini Filipo alipohubiri habari njema za Ufalme wa Mungu na jina la Yesu Kristo, wakabatizwa wanaume na wanawake.
Acts 10:48Kwa hiyo akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo. Wakamsihi Petro akae nao kwa siku chache.
1 Corinthians 1:13Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye alisulubishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo?