Acts 2:23
Huyu mtu akiisha kutolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa kwa kujua kwake Mungu tangu zamani, ninyi, kwa mikono ya watu wabaya, mlimuua kwa kumgongomea msalabani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 50:20Mlikusudia kunidhuru, lakini Mungu alikusudia mema, ili litimie hili linalofanyika sasa, kuokoa maisha ya watu wengi.
Isaiah 10:6Ninamtuma dhidi ya taifa lisilomjua Mungu, 2 ninamtuma dhidi ya taifa linalonikasirisha, 1 kukamata mateka na kunyakua nyara, 2 pia kuwakanyaga chini kama matope ya barabarani. 1
Daniel 4:35Mataifa yote ya dunia 2 yanahesabiwa kuwa si kitu. 1 Hufanya kama atakavyo 2 kwa majeshi ya mbinguni, 2 na kwa mataifa ya dunia. 1 Hakuna anayeweza kuuzuia mkono wake 2 au kumwambia, “Umefanya nini wewe?”
Matthew 26:24Mwana wa Adamu anaenda zake kama vile alivyoandikiwa. Lakini ole wake mtu yule amsalitiye Mwana wa Adamu. Ingekuwa heri kwake mtu huyo kama hangezaliwa!”
Luke 22:22Mwana wa Adamu anaenda zake kama ilivyokusudiwa. Lakini ole wake mtu huyo amsalitiye.”
Luke 24:20Viongozi wa makuhani na viongozi wetu walimtoa ahukumiwe kufa, nao wakamsulubisha.