Acts 2:39
Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu na watoto wenu, na kwa wote walio mbali, na kila mtu ambaye Bwana Mungu wetu atamwita amjie.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 115:14Bwana na awawezeshe kuongezeka, 2 ninyi na watoto wenu. 1
Isaiah 54:13Watoto wako wote watafundishwa na Bwana, 2 nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu. 1
Isaiah 59:19Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana 2 na kuanzia mawio ya jua, watauheshimu utukufu wake. 1 Wakati adui atakapokuja kama mafuriko, 2 Roho wa Bwana atainua kiwango dhidi yake na kumshinda. 1
Ezekiel 37:25Wataishi katika nchi niliyompa mtumishi wangu Yakobo, nchi ambamo baba zenu waliishi. Wao na watoto wao na watoto wa watoto wao wataishi humo milele, naye Daudi mtumishi wangu atakuwa mkuu wao milele.
Joel 2:32Na kila mtu atakayeliitia 2 jina la Bwana ataokolewa. 1 Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu 2 kutakuwepo wokovu, 2 kama Bwana alivyosema, 1 miongoni mwa walionusurika 2 ambao Bwana awaita.
Acts 10:45Wale wa tohara walioamini waliokuja na Petro walishangaa kwa kuona kuwa kipawa cha Roho Mtakatifu kimemwagwa juu ya watu wa Mataifa.