Acts 2:8
Imekuwaje basi kila mmoja wetu anawasikia wakinena kwa lugha yake ya kuzaliwa?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And how hear we every man in our own tongue, wherein we were born?
In Context
7Wakiwa wameshangaa na kustaajabu wakauliza, “Je, hawa wote wanaozungumza si Wagalilaya?
9Wapathi, Wamedi, Waelami, wakazi wa Mesopotamia, Uyahudi, Kapadokia, Ponto na Asia,
Cross References
Psalms 145:12ili watu wote wajue matendo yako makuu 2 na utukufu wa fahari ya ufalme wako. 1