Acts 20:2
Alipita katika sehemu zile, akinena na watu maneno mengi ya kuwatia moyo. Ndipo hatimaye akawasili Uyunani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he had gone over those parts, and had given them much exhortation, he came into Greece,
In Context
Cross References
Zechariah 9:13Nitampinda Yuda kama nipindavyo upinde wangu, 2 nitamfanya Efraimu mshale wangu. 1 Nitawainua wana wako, ee Sayuni, 2 dhidi ya wana wako, ee Uyunani, 2 na kukufanya kama upanga wa shujaa wa vita. 1 Bwana Atatokea 1
Acts 14:22wakiwaimarisha wanafunzi na kuwatia moyo waendelee kudumu katika imani. Wakawaonya wakisema, “Imetupasa kuingia katika Ufalme wa Mungu kwa kupitia katika taabu nyingi.”
Acts 16:12Kutoka huko tukasafiri hadi Filipi, mji mkuu wa jimbo hilo la Makedonia, uliokuwa koloni ya Warumi. Nasi tukakaa huko siku kadhaa.
Acts 17:10Usiku ule ule, wale ndugu walioamini wakawapeleka Paulo na Sila waende zao Beroya. Walipowasili huko wakaenda kwenye sinagogi la Wayahudi.
Acts 20:11Kisha Paulo akapanda tena ghorofani, akamega mkate na kula. Baada ya kuongea mpaka mapambazuko, akaondoka.
1 Thessalonians 2:3Kwa maana himizo letu halikutokana na hila wala nia mbaya au udanganyifu.