Acts 20:26
Kwa hiyo nawatangazia leo, sina hatia ya damu ya mtu awaye yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore I take you to record this day, that I am pure from the blood of all men.
In Context
27Kwa kuwa sikusita kuwatangazia mapenzi yote ya Mungu.
Cross References
Job 16:19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; 2 wakili wangu yuko juu. 1
Ezekiel 33:2“Mwanadamu, sema na watu wako uwaambie, ‘Nitakapoleta upanga dhidi ya nchi, nao watu wa nchi wakamchagua mmoja wa watu wao na kumfanya awe mlinzi wao,
John 19:35Mtu aliyeona mambo hayo ndiye alitoa ushuhuda, nao ushuhuda wake ni kweli. Anajua kuwa anasema kweli, naye anashuhudia ili pia nanyi mpate kuamini.
Romans 10:2Kwa maana ninaweza nikashuhudia wazi kwamba wao wana juhudi kubwa kwa ajili ya Mungu, lakini juhudi yao haina maarifa.
2 Corinthians 7:2Tupatieni nafasi mioyoni mwenu. Hatujamkosea mtu yeyote, hatujampotosha mtu yeyote, wala hatujamdhulumu mtu yeyote.
1 Thessalonians 2:10Ninyi wenyewe ni mashahidi na Mungu pia, jinsi tulivyokuwa watakatifu, wenye haki na wasio na lawama miongoni mwenu ninyi mlioamini.