Acts 21:10
Baada ya kukaa kwa siku kadhaa, akateremka nabii mmoja kutoka Uyahudi jina lake Agabo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And as we tarried there many days, there came down from Judaea a certain prophet, named Agabus.
In Context
9Filipo alikuwa na binti wanne mabikira waliokuwa wanatoa unabii.
Cross References
Acts 11:28Mmoja wao, jina lake Agabo, akasimama akatabiri kwa uweza wa Roho Mtakatifu kwamba njaa kubwa itaenea ulimwengu mzima. Njaa hiyo ilitokea wakati wa utawala wa Klaudio.
Acts 21:4Baada ya kuwatafuta wanafunzi wa huko, tukakaa nao kwa siku saba. Wale wanafunzi wakiongozwa na Roho wakamwambia Paulo asiende Yerusalemu.